test

Jumapili, 6 Novemba 2016

Breaking News: Mgombea Urais wa Marekani Donald Trump Atolewa Jukwaani baada ya tishio la kufyatuliwa Risasi


NEVADA, MAREKANI: Wanausalama wamuondoa jukwaani, Donald Trump baada ya mtu 1 kupaza sauti kuwa kuna hatari ya kufyatuliwa risasi. 
- Mtu huyo inayedaiwa kuwa alikuwa na bunduki aliachiwa huru baada ya kugundulika hakuwa na silaha yoyote

Install Application ya JUNGUKUULEO Uweze Pata Habari Kirahisi Zaidi

xxxxxxxxxxxxx