test

Ijumaa, 11 Novemba 2016

BREAKING NEWS : MBUNGE WA JIMBO LA DIMAN ZANZIBAR AFARIKI DUNIA



TANZIA: tumepoteza mbunge leo alfajiri majira ya tisa mh. Hafidh Tahir ALLY amefia general hospital Dodoma



Mh. Hafidh Tahir Ally alikuwa mwamuzi wa FIFA na mwana-Yanga ya Kimataifa kindakindaki na ni jana tu amechaguliwa kuwa Katibu Mkuu wa Umoja wa Tawi la wabunge wanaYanga Dodoma chini ya Uenyekiti wa Venance Mwamoto.

Install Application ya JUNGUKUULEO Uweze Pata Habari Kirahisi Zaidi

xxxxxxxxxxxxx