Watu
17 wamefariki dunia katika ajali iliyohusisha lori la mizigo aina ya
Scania lenye namba za usajili T198CBQ na Noah ya abiria yenye namba za
usajili T232BQR iliyotokea jana usiku katika kijiji cha Nsalala mkoani
Shinyanga.
Majina ya Blog Zinazoanzia na Herufi I
Miaka 11 iliyopita