test

Alhamisi, 6 Oktoba 2016

Wimbo ya Salome Waongoza Kwa Kununuliwa Huko Kenya Kati ya Nyimbo 100


Wimbo wa salome ulioimbwa kwa kukutanisha mafundi wawili kutokea lebo ya WCB Diamond Platnumz AKA Simba Jini na Rayvanny umekimbiza ile mbaya huko nchini Kenya kwa kushika namba moja kati ya nyimbo 100 bora zinazoongoza kwa kununuliwa huko Kenya.

Wakenya wengi walipohojiwa na mwandishi wetu aliyekuwa ziarani jijini Nairobi nchini Kenya wikendi walitoa maoni yao kuhusu wimbo mpya wa Salome na kusema wimbo ni mzuri sana umetubamba,huku wakisifia sana muziki wa bongo hasa Diamond Platinumz.

Install Application ya JUNGUKUULEO Uweze Pata Habari Kirahisi Zaidi

xxxxxxxxxxxxx