UGANDA: Mwanaume mmoja anashikiliwa na Polisi katika eneo la Apac kwa tuhuma za kumzika mwanae wa kiume mwenye miaka 5 akiwa bado hai. Mtuhumiwa anadai aliamua kumzika mwanae sababu mama yake wa kambo alikuwa akimtesa sana na alitishia kumuua. Install Application ya JUNGUKUULEO Uweze Pata Habari Kirahisi Zaidi xxxxxxxxxxxxx