Wezi hao walivunja nyumba ya the Wolfman na kuzama ndani, na kilichowakuta humo ndani hawatakuja kukisahau maishani kamwe. Harry Garrington 'the wolfman' mwenye kilogram 137 za misuli (pure muscle) na urefu wa ft 6'7" aliwadhibiti kirahisi vibaka hao wawili na kisha kuwafanya mateka wake ambao aliamua kuwanajisi kwa siku tano mfululizo.
Kelele za vilio vya majonzi na maumivu kutoka kwa hao wezi zilivuta hisia za majirani wa karibu na hilo eneo ambao waliamua kuwapigia simu polisi. Mlawiti na wezi waliolawitiwa wote walitiwa nguvuni huku 'the wolfman' akikabiliwa na kesi ya ubakaji: na waliobakwa pia wanakabiliwa na kesi ya kuvunja nyumba na kujaribu kufanya wizi. (kweli kabla hujaenda kufanya uhalifu sehemu ni muhimu kufanya utafiti mapema).
Source:BBBC