PROFESA Ibrahim Lipumba amegonga mwamba. Juhudi zake za kufungua akaunti ya benki, tofauti na iliyo halali na inayotumika, zimekwama,
Prof. Lipumba anadaiwa kutaka kufungua akaunti yake katika Tawi la Ilala la National Microfinance Bank (NMB) jijini Dar es Salaam.
Prof. Lipumba ambaye kwa miezi miwili sasa amekuwa akinyukana na uongozi halali wa Chama cha Wananchi (CUF).
Soma gazeti la MwanaHALISI la leo ili kupata habari kamili.