test

Alhamisi, 15 Septemba 2016

VIDEO: Masharti waliyopewa wakurugenzi wapya wa Rais Magufuli



SEP 15, 2016
September 13 2016 zoezi la kuapishwa kwa wakurugenzi 16 walioteuliwa na Rais John pome Magufuli ulifanyika katika ofisi za TAMISEMI Dodoma mbele ya Waziri wa nchi ofisi ya Rais TAMISEMI George Simbachawene pamoja na Waziri wa nchi ofisi ya Rais utumishi na utawala bora Angellah Kairuki.
Katika maelezo yake Waziri Kairuki hakuacha kuwapa maelekezo ya kuzingatia kwa Wakurugenzi hao ikiwa ni pamoja na kujiandikisha taarifa zao kamili ikiwemo mali wanazomiliki. Unaweza kumsikiliza Waziri Kairuki kwenye hii video hapa chini…

Install Application ya JUNGUKUULEO Uweze Pata Habari Kirahisi Zaidi

xxxxxxxxxxxxx