Siku
izi kumeibuka mtindo wa kuvaa mavazi yanayoonyesha Nusu ya Mwili wa
mwanamke... si hivyo tu wanawake na wasichana wengi wamekuwa wakitupia
picha zao mtandaoni wakia na mavazi hayo kitendo ambacho ni kibaya
zaidi. Sasa kama mwanaume mwenye akili kabisa unaweza ukamruhuzu mke
wako au mchuba wako kuvaa mavazi haya na akapita mbele ya kundi la
watu?? au ndo Fashion ya siku hizi!!
Majina ya Blog Zinazoanzia na Herufi I
Miaka 11 iliyopita
0 comments:
Chapisha Maoni