#Habari Watu 23 wamefariki dunia na 34 kujeruhiwa na wanne kati yao hali zao ni mbaya zaidi kufuatia ajalikatika iliyotokea katika eneo la
KINYANABO,Mafinga wilayani Mufindi- IRINGA iliyohusisha basi ndogo aina ya COASTER mali ya kampuni ya ANOTHER G na Lori la mizigo.
source :itv
Endelea kufatilia mtandao huu www.chiefwire.blogspot.com kupata habari zaidi.
0 comments:
Chapisha Maoni