Baadhi
ya wakuu wa idara wa Halmashauri ya wilaya ya Iramba wakiwa kwenye
ukumbi wa mikutano wa Halmashauri hiyo wakati wa mkutano wa kawaida wa
baraza la madiwani uliofanyika mjini Kiomboi.
Mwenyekiti
wa Halmashauri ya wilaya ya Iramba,Mkoani Singida,Simon Tyosela(wa
kwanza kutoka kulia) akiongoza mkutano wa Baraza la Madiwani wa
Halmashauri ya wilaya hiyo.
0 comments:
Chapisha Maoni