Muda mfupi uliopita nimepata taarifa kuwa kiongozi mkuu wa
waislamu nchini Tanzania Mufti Issa Bin Shaaban Simba amefariki dunia.
Hakika ni majonzi na pigo kubwa kwa Waislam na watanzania kwa ujumla.
Amezaliwa Shaaban na ameondoka ndani ya mwezi wa Shaaban,
Innalilah wainailah Rajiun.
Innalilah wainailah Rajiun.
Mwenyezi mungu ampe kauli thabiti na amjaalie pepo ya kheri na kumsamehe madhambi yake.
Endelea kufatilia mtandao huu kwa habari zaidi
0 comments:
Chapisha Maoni