test

Jumatano, 27 Mei 2015

Keisha naye kuwania ubunge mwaka huu?




Mzuka wa siasa unazidi kuwaingia wasanii wengi wa muziki nchini. Keisha ni mmoja wao.

Akizungumza na Mpekuzi, Keisha amesema naye pia ana mpango wa kuingia rasmi kwenye kuwania nafasi ya uongozi wa kisiasa japo inaweza isiwe mwaka huu.
 
“Napenda sana harakati za siasa, nimeshawahi kufikiria lakini bado sikupata jibu sahihi,” amesema.
 
 “Kwahiyo sasa hivi siwezi kusema nipo tayari ama vipi. Lakini nikiwa tayari nitaweka wazi kila kitu. Mimi ni mwana-CCM damu kabisa nimekunywa maji ya bendera.”
 
Miongoni mwa wasanii watakaogombea ubunge mwaka huu ni pamoja na Profesa Jay na Afande Selle.

Install Application ya JUNGUKUULEO Uweze Pata Habari Kirahisi Zaidi

xxxxxxxxxxxxx

0 comments:

Chapisha Maoni