Mtandao mmoja huko Ulaya baada ya kuandika sana habari za soka na
wamekunja kona tofauti kidogo na kuandika kuhusu list ya wachezaji wa
soka wenye mvuto sana. Kwa lugha yao unaweza kusema kama The most
handsome soccer players. List yao ndio hii hapa kuanzia 10 hadi namba 1.
10. Cesc Fabregas
9)Gerard Pique (Spain)
7. Mario Gotze (Germany)
6. Fernando Torres (Spain)
4) Iker Casillas (Spain)
2) Kaka Brazil
1) Cristioano Ronaldo – Portugal
0 comments:
Chapisha Maoni