test

Alhamisi, 28 Mei 2015

HATARIII:BINTI AFARIKI DUNIA BAADA YA POWER BANK KUMLIPUKIA AKIWA USINGIZINI..SOMA NI MUHIMU UJUE HATARI ZA PAWA BENKI ZA SIMU



Ni huzuni binti mmoja afariki dunia baada ya kulipukiwa na power bank akiwa amelala ambayo alikuwa ameiweka katika chaji na umeme ulikuwa umekatika na baada ya umeme kurudi ukaleta majangazi na kupatwa na umauti tuwe makini na kuchat au kuweka karibu vitu vya umeme na miili yetu .

Install Application ya JUNGUKUULEO Uweze Pata Habari Kirahisi Zaidi

xxxxxxxxxxxxx

0 comments:

Chapisha Maoni