Ki ukweli nahisi hawa wawili bado wanawindana japo wameachana , ni kama
wanafuatiliziana nyendo zao na kujaribu kuumizana kwa njia moja ama
nyingine huku wakijaribu kuonyesha kila mmoja ame move on ...
Embu ona hiii : Wema Sasa amekuja na nguvu zote ana mtangaza Ali Kiba Kwenye Instagram yake na Kuomba watu wampigie kura kushinda Kill Music Awards wakati akijua kabisa Ali Kiba na Diamond haziivi ...
Baada ya Muda Diamond Anaibuka na Kuziponda Vibaya Tuzo za Kill Awards Kama Univyosomeka Hapa Chini:

0 comments:
Chapisha Maoni