test

Jumapili, 10 Mei 2015

Aunty Lulu: Makalio Yangu Yananitesa, Wanaume Wananisumbua Sana!!


 
Mwigizaji Lulu Semagongo ‘Aunty Lulu’ ametoa kioja cha aina yake baada ya kuibuka na kusema kuwa makalio yake yanamtesa akidai anasumbuliwa sana na wanaume wanaovutiwa nayo faragha.

Aunty Lulu amelieleza gazeti la Risasi Jumamosi  kuwa wanaume wengi wamekuwa wakimiminika kutaka mapenzi kinyume na maumbile  baada ya kusambaziana kuwa mwigizaji huyo analitumia umbo lake ndivyo sivyo.
 
“Nawaomba wanaume waache kunifatafata jamani wananikosesha amani kwani mimi nimefundwa  najua madhara ya hako kamchezo kabaya, siwezi kuthubutu hata  mara moja,” alilieleza  gazeti  hilo.

Install Application ya JUNGUKUULEO Uweze Pata Habari Kirahisi Zaidi

xxxxxxxxxxxxx

0 comments:

Chapisha Maoni