Skip to content
Mwanasayansi David Goodall mwenye miaka 104, aliyesafiri kutoka
Australia hadi Uswizi ili kujitoa uhai amefariki May 10, 2018 usiku
katika kliniki moja nchini Uswizi, shirika linalotetea haki za watu
wanaotaka kufa limetangaza.
Mwanaikolojia huyo ambaye pia alikuwa mtaalamu wa mimea hakuwa anaugua
lakini alisema kuwa aliamua kujitoa uhai kutokana na kudhoofika kwa
‘ubora wa maisha yake’.
Uswizi, ni nchi pekee iliyo na vituo vinavyotoa huduma hiyo kwa raia wa
mataifa mengine, huduma ambayo inaruhusu watu kujitoa uhai.
Install Application ya JUNGUKUULEO Uweze Pata Habari Kirahisi Zaidi
xxxxxxxxxxxxx
0 comments:
Chapisha Maoni