Staa
wa bongo movies Wema Sepetu amewaacha watu katika mshangao na
kuchanganyikiwa baaada ya kuweka posti ya kusikitisha inayohusu mwanamke
ambae alipata tatizo la kuharibika kwa mimba.
Watu wamekuwa wakijiuliza je post hiyo inamkumbusha mimba iliyoharika kipindi cha nyuma au ni mimba nyingine imeharibika tena.
Watu
wengi wameonekana kuguswa na jambo hilo na kusema kuwa Wema anapitia
kipindi kigumu sana kwa sasa kutokana na hamu yake kubwa ya kutaka kuwa
na mtoto lakini inashindikana.
Wema aliweka picha hiyo katika ukurasa wake wa instagram na kuandika “Story of my life”
0 comments:
Chapisha Maoni