Mamlaka
ya Mapato Tanzania imekusanya Tsh Tril 11.78 katika kipindi cha miezi
tisa ya mwaka wa fedha 2017/18 kuanzia Julai 2017 hadi Machi 2018,
ikilinganishwa na Tsh. Tril 10.86 ambazo zilikusanywa katika kipindi cha
mwaka wa fedha 2016/17, ambacho ni sawa na ukuaji wa 8.46%.
Blog Zinazoanzia na Herufi ya W
Wiki 1 iliyopita
0 comments:
Chapisha Maoni