Mgombea
Urais wa Tanzania wa UKAWA kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo
(CHADEMA), Mh. Edward Lowassa, akipokea mfano wa funguo yenye ujumbe wa
"Mabadiliko", kutoka kwa Mgombea Ubunge wa Ukawa kupitia CHADEMA, Mh.
James Lembeli, katika Mkutano wa Kampeni, uliofanyika kwenye Uwanja wa
Stendi mpya, Nyasubi, Kahama Mjini Septemba 14, 2015.
Sehemu
ya Umati wa wananchi wa Mji wa Kahama, wakiwa wamefurika kwenye Uwanja
wa Stendi mpya, Nyasubi, Kahama Mjini l Septemba 14, 2015, wakati wa
Mkutano wa Kampeni za Mgombea Urais wa Tanzania wa UKAWA kupitia Chama
cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mh. Edward Lowassa.
0 comments:
Chapisha Maoni