Spika
wa Bunge, Job Ndugai amerejea jana Aprili 3, 2018 akitokea nchini India
alikokwenda kwa ajili ya kupata matibabu miezi miwili.
Taarifa
iliyotolewa katika ukurasa wa Twitter wa Bunge la Tanzania imesema
“Spika Ndugai amepokelewa na Mbunge wa Viti Maalum, Mama Salma Kikwete
na Wabunge wengine.”
0 comments:
Chapisha Maoni