Uteuzi huo wa Dk Mafumiko umeanza Jumanne Aprili 3, 2018.
Taarifa
iliyotolewa jana na Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais Ikulu, Gerson
Msigwa imeeleza kuwa kabla ya uteuzi huo, Dk Mafumiko alikuwa Mkurugenzi
wa Taasisi ya Elimu ya Watu Wazima (TEWW).
Dk Mafumiko anachukua nafasi ya Profesa Samuel Manyele ambaye amemaliza muda wake.
0 comments:
Chapisha Maoni