Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed
Shein (kushoto) akisalimiana na Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mzee Ali Hassan Mwinyi wakati alipowasili katika ukumbi wa CCM
Kisiwandui Mjini Unguja leo katika Kisomo cha Khitma ya Marehemu Mzee
Abeid Amani Karume ambayo hufanyika kila mwaka ifikapo tarehe 7 April
baada ya kifochake,(kulia) Waziri Mkuu wa Tanzania Mhe.Majaliwa Kassim
Majaliwa,
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed
Shein (kushoto) akisalimiana na Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mhe.Majaliwa Kassim Majaliwa wakati alipowasili katika ukumbi
wa CCM Kisiwandui Mjini Unguja leo katika Kisomo cha Khitma ya Marehemu
Mzee Abeid Amani Karume ambayo hufanyika kila mwaka ifikapo tarehe 7
April baada ya kifochake
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed
Shein (kushoto) akisalimiana na Kadhi Mkuu wa Zanzibar Sheikh Khamis
Haji wakati alipowasili katika ukumbi wa CCM Kisiwandui Mjini Unguja
leo katika Kisomo cha Khitma ya Marehemu Mzee Abeid Amani Karume ambayo
hufanyika kila mwaka ifikapo tarehe 7 April baada ya kifochake














0 comments:
Chapisha Maoni