Alice
ambaye ndiye anadaiwa kuwa katika mahusiano na Bill Nass kwa sasa
ameonyesha kutopendezwa kabisa na kile kilichotokea kwa mpenzi wake
pamoja na Nandy. Kupitia ukurasa wake wa Instagram ameandika;
"Ujue
wakati mwingine jitahidi kujiheshimu Nandy, Ulimpigia William simu
ukimuomba akutumie picha zenu za wakati mnadate…. bila hiyana mume wangu
alikutumia, lakini wewe uliposti zile picha hukuridhika ukaamua uachie
video chafu kama ile halafu hapo hapo unakataa na kumlaumu mume wangu
wakati iliyotumika ni simu yako.
"Upande
wako kama unaona umewin basi jua umetuharibia mimi na mume wangu sana
na hata kwa watoto wetu huko mbeleni sijui watamjengea picha gani baba
yao.
"Cant
you doing your fu*** music bila kiki?, au uliona mume wangu William ndo
wa kutafutia kiki, naomba ukome tena haswa, kama ulikuwa naye ndio
ishapita hivyo tuache na mahusiano yetu, sijui ni mwanamke wa dizaini
gani wewe usiyekuwa na haya, unayejua kuvaa nje, ndani hujui, ile chu**
ni ya kuvaa msichana kama wewe.
Hapo
juzi, April 12, 2018 ilivuja video mtandaoni ya utupu ambayo
iliwaonyesha Bill Nass na Nandy wakiwa faragha. Nandy ameshaomba radhi
kwa mashabiki wake kutokana na tukio hilo na kueleza hajui nani hasa
amevujisha video hiyo ila amekiri kuwa yeye ndiye aliirekodi.


0 comments:
Chapisha Maoni