test

Jumapili, 28 Mei 2017

Mkazi wa Buzuruga aokolewa baada ya kufungiwa na mama yake ndani ya nyumba miaka miwili



Mkazi wa Buzuruga afungiwa ndani miaka miwili
Mkazi mmoja wa mtaa wa Buzuruga Mashariki manispaa ya Ilemela mkoani Mwanza Gilbert Ng’wenya kuokolewa na wasamaria wema baada ya kufungiwa ndani ya chumba na mama yake mzazi kwa muda wa miaka miwili kimevuta hisia za wengi..
 

Taarifa za kufungiwa ndani kwa Ng’wenya zimetolewa kwa jeshi la polisi na majirani wa nyumba anamoishi ambapo baada ya kuokolewa amepelekwa katika hospitali ya rufaa ya bugando kwa ajili ya uchunguzi wa afya yake.

Install Application ya JUNGUKUULEO Uweze Pata Habari Kirahisi Zaidi

xxxxxxxxxxxxx

0 comments:

Chapisha Maoni