Faiza Ally amewajia juu Watu wanao mpiga majungu kuhusu kivazi chake alichovaa katika KTMA 2015 .
Faiza ambaye aliwahi kuwa mke wa mbunge wa Mbeya mjini, Joseph Mbilinyi 'Sugu', jana alipost ujumbe katika ukurasa wake wa Instagram na kutoa ya moyoni jinsi anavyo keleka na watu wanavyo mfikilia tofauti .
==>Huu ndo ujumbe Aliouandika Instagram
Nyie watu wapya humu ndani wengi wap**mbavu mmenijua kupitia hiyo nguo ambayo nimeshasema kamba zilishuka ilikua sio lengo kukaa uchi.
Nawaambia
wote mnao nijaji wap**mbavu tena sana ! huwezi ukajifanya unanijua sana
kwa kukosea mara moja ! we na yule na wengine wajinga! tako limekaa
wazi ni sehemu ya mwili tu ! sio kila kitu kwenye maisha yangu zaidi
kumuingiza mwanangu na baba mtoto wangu- muwakome!!!!!!!!
Nyinyi
na nguo zenu ndefu mmefanya nm kwenye jamiii- nasaidia yatima,
nasomesha watoto watatu,nasafisha mahospitalini kwa kujitolea,natoa
misaada kwenye odi za watoto wa kansa,nimeshiriki kupinga mauaji ya
albino,juzi nimetoa vyoo kwenye shule.
Mbona
hamna hata hizo blog ushuzi zilizotangaza mema ! mmmeona tako tu ndio
muhimu p**mbavu zenu nyie ????? nauliza ? wewe umefanya nn ktk jamii
yako punda we!
Koma
shika adamu yako! kama unaona mm chizi mwenda uchi unafanya nini hapa ,
pita �� nipishe ...... muonekano sio muhimu p**mbavu we! utu na
ubinaadamu kwanza ! tako kitu gani ??? si tako tu ! ....
0 comments:
Chapisha Maoni