Mwanaharakati
wa siasa Mtandaoni Mange Kimambi amemvaa Jokate na kumtolea povu zito
baada ya aliyekuwa mpenzi wake staa wa Bongo fleva Ali Kiba kuoa
mwanamke mwingine.
Asubuhi
ya Leo Ali Kiba Kamuoa mke wake Amina huko Mombasa nchini Kenya lakini
Ex wake Jokate anashika headlines ambapo Mange amemjia juu Jokate huku
akimcheka kuhusu hilo.
Mange
amekuwa akiipinga ndoa hii kufanyika hivi sasa kwa hofu ya kwamba
itazima haraka zake Lakini pia amekuwa katika vita na Jokate kutokana
na Jokate kuwa chama tawala na alikuwa kiongozi.
Mange
amemtolea povu zito Jokate huku akihusisha ndoa ya Ali Kiba ambapo
kwenye ukurasa wa Instagram wa Jokate aliandika maneno haya:
0 comments:
Chapisha Maoni