Balozi
wa Tanzania nchini Sweden, Mhe. Wilbroad Slaa jana akiwasilisha Hati
zake za Utambulisho kwa Mfalme Carl XVI Gustaf wa Sweden.
Balozi
wa Tanzania nchini Sweden, Mhe. Wilbroad Slaa akiwa katika picha ya
pamoja na baadhi ya maofisa wa ofisi ya Mfalme wa Carl XVI Gustaf wa
Sweden baada ya utambulisho



0 comments:
Chapisha Maoni