Muimbaji
huyo anayefanya vizuri na ngoma ‘Jini Kisirani’ ameiambia XXL ya Clouds
FM kuwa bado anajipanga kwa ajili ya suala hilo ila kwa sasa hana
mpango.
“Kwa kweli kwa sasa hivi sijatarajia bado, vitu vyangu vingi bado sijakamilisha,” amesema.
“Sio
Gigy Money amepata mtoto na mimi nipate, no! unajua unapopata mtoto
kuwe na maandalizi yake. Labda yeye rafiki yangu kajiandaa mtoto lazima
aje kwenye mazingira mazuri,” ameongeza.
Gigy
Money ambaye yupo katika mahusiano na Mtangazaji wa Choice FM, M o J
alijifungua mtoto wa kike usiku wa kuamkia jana April 27, 2017 na amempa
mwanae jina Mayra.
0 comments:
Chapisha Maoni