test

Jumatano, 19 Julai 2017

Zitto Kabwe ampinga Tundu Lissu



Kiongozi wa Chama Cha ACT-Wazalendo Zitto Kabwe apinga Kauli ya Mwanasheria Mkuu wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo Tundu Lissu ya kutaka wafadhili na jumuiya za Kiataifa kuinyima misaada Tanzania kwa sababu ya Serikali kuiminya Demokrasia.

Kupitia Ukuirasa wake wa  Twitter ameendika hivi.


Zitto Kabwe amesema kuwa kuzuiliwa kwa misaada kutoka Nje sio njia sahihi ya kutete Demokrasia
.

Install Application ya JUNGUKUULEO Uweze Pata Habari Kirahisi Zaidi

xxxxxxxxxxxxx

0 comments:

Chapisha Maoni