test

Alhamisi, 11 Mei 2017

REAL MADRID YAWAFUATA JUVENTUS CARDIFF,RATIBA YA MECHI ZA EUROPE LEAGUE ZIKO HAPA


MABINGWA wa tetezi wa Ligi ya Mabingwa Ulaya klabu ya Real Madrid hatimaye imefanikiwa kufuzu hatua ya Finali kwa mara ya Pili mfululizo.
Real Madrid inayo ongozwa na kocha Zinedine Zidane imefanikiwa kuwaondosha Atlético Dé Madrid kwa jumla ya magoli 4-2.


Hata hivyo katika mchezo uliopigwa jana katika dimba la Vincent Calderon klabu ya Real Madrid iliweza kupoteza mchezo huo kwa kufungwa goli 2-1 lakini ilikuwa si shida kwao maana tayari walikuwa mbele kwa magoli 3 ambayo waliyapata katika mchezo uliopigwa Santiago Bernabeu.

FAINALI YA UEFA CHAMPIONS LEAGUE

☆ Juventus Vs Real Madrid.


Leo pia katika michuano ya Europa League itapigwa michezo miwili ya Nusu Fainali ya Pili ambapo michezo hiyo itawakutanisha miamba kati ya;

RATIBA YA EUROPE LEAGUE NUSU FAINALI

Europa League - Semi-finals

☆ Lyon Vs Ajax
Muda: 4:05 Usiku.

☆ Manchester United Vs Celta Vigo
Muda: 4:05 Usiku.

Install Application ya JUNGUKUULEO Uweze Pata Habari Kirahisi Zaidi

xxxxxxxxxxxxx