test

Jumatano, 10 Mei 2017

Nape kamlenga nani?


Mbunge wa Jimbo la Mtama Nape Nnauye ameandika ujumbe huu kupitia ukurasa wake Instagram

‪"Mti hauhangaiki na majani yaliyopukutika/yanayoanguka, bali hujishughulisha kutengeneza majani mengine mapya na bora zaidi kuliko ya kwanza!‬"

Install Application ya JUNGUKUULEO Uweze Pata Habari Kirahisi Zaidi

xxxxxxxxxxxxx