test

Alhamisi, 25 Mei 2017

Mkazi wilayani Gairo atuhumiwa kumpiga mkewe hadi kusababisha kifo



Mkazi wilayani Gairo atuhumiwa kumpiga mkewe hadi kusababisha kifo
Polisi mkoani Morogoro inamshikilia mtu mmoja PASTORY CHILANGAZI mkazi wa Mamvisi tarafa ya Nongwe wilayani Gairo kwa tuhuma za kumpiga mkewe hadi kusababisha kifo chake kutokana na ugomvi wa kifamilia.
Kamanda wa polisi mkoa wa Morogoro ULRICH MATEI amesema mtuhumiwa huyo anashikiliwa na kuhojiwa huku hatua za kumfikisha mahakamani zikiendelea.

Install Application ya JUNGUKUULEO Uweze Pata Habari Kirahisi Zaidi

xxxxxxxxxxxxx

0 comments:

Chapisha Maoni