test

Jumanne, 30 Mei 2017

Majina 6 Yanayotajwa sana Usajili Yanga haya hapa


Image result for yanga sc
Hawa ni wachezaji watano ambao wanatajwa sana kuwaniwa na Yanga ili waweze kumwaga wino wa Kuitumikia Yanga Msimu Ujao wa Ligi na Michuano ya Kimataifa.
Mbaraka Yusuph toka Kagera Sugar, Kelvin Sabato toka Maji Maji, Rafael Daud (Mbeya City), Salmin Hoza (Mbao), Asante Kwasi (Mbao) na Ally Nassoro Ufudu (Kagera Sugar)

Install Application ya JUNGUKUULEO Uweze Pata Habari Kirahisi Zaidi

xxxxxxxxxxxxx

0 comments:

Chapisha Maoni