Mkuu
wa Mkoa wa Dar es salaam Mh Paul Makonda (Kulia) Akimwapisha Mkuu Mpya
wa Wilaya ya Ubungo Mh Kisare Makori Mh Makori anachukua nafasi ya
Aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Ubungo Mh Humphery Polepole Aliyteuliwa Kuwa
Katibu wa Itikadi na Uenezi wa Chama cha Mapinduzi.
Mh Makonda akiwa katika Picha ya Pamoja na Ndugu wa Mkuu wa wilaya ya Ubungo.
Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mh Makonda akiwa Pamoja na Mkuu wa wilaya ,Mkurugenzi Pamoja na DAS wa Wilaya ya Ubungo.
Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mh Makonda Akiwa Katika Picha ya Pamoja na Wakuu wa Wilaya za Mkoa wa Dar es Salaam