Watu
4 wamefariki na 15 kujeruhiwa baada ya basi dogo kugonga lori katika
Kijiji cha Lusanga Muheza. Majeruhi wapo Hospitali Teule ya Muheza. Bado
tunafatilia Habari kwa kina
Majina ya Blog Zinazoanzia na Herufi I
Miaka 11 iliyopita