Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe, Dkt. John Pombe Magufuli
anatarajiwa kuwa mgeni rasmi Ijumaa hii Aprili 06, 2018 kwenye uzinduzi
wa ukuta kwenye migodi ya Mirerani mkoani Arusha.
Tarehe
30 Septemba mwaka jana, Rais Magufuli aliamuru kujengwa ukuta huo
kuzunguka eneo la Mererani ili kulinda madini ya Tanzanite na kuiwezesha
serikali kukusanya kodi kwa urahisi.
http://www.jungukuuleo.com/
0 comments:
Chapisha Maoni