Juzi
wanafunzi 32 wa darasa la saba, walimu 2 na dereva wa gari la shule ya
msingi iitwayo Lucky Vicent ya Arusha walifariki dunia majira ya saa 3
asubuhi baada ya gari walilokuwa wakisafiria kupata ajali katika eneo
Rhotia Marera, Wilaya ya Karatu Mkoani Arusha.
Majina ya Blog Zinazoanzia na Herufi I
Miaka 11 iliyopita