Skip to content
The Rolls Royce musician from east africa aka diamond hatimaye
amekamilisha ndoto zake za siku nyingi baada ya order yake ya gari aina
ya rolls royce kukamilia na gari hilo liko njiani kuwasili mikononi
mwake punde... Gari hilo aina ya rolls royce Drop Head coupe 6.7 litre
V-12 ambalo limeagizwa kupitia kampuni ya Newline Luxury Motors ambalo
order yake ina waiting time ya six months kuanzia unapolipia hadi
litengenezwe hadi likufikie mteja..
Install Application ya JUNGUKUULEO Uweze Pata Habari Kirahisi Zaidi
xxxxxxxxxxxxx