Ni masaa machache yamepita tangu ilipopandishwa mtandaoni hii collabo ya Diamond Platnumz pamoja na Cassper Nyovest ambayo wameifanya kwenye Coke Studio
Huiwezi kuisikiliza mara moja ni hatari na Imempendeza kila mmoja ambaye ni mpenzi wa muziki mzuri, na ndiyo sababu iliyonifanya nisisite kukusogezea na wewe hapa ili uweze kuenjoy nayo.