Backbend binadamu ambaye ana uwezo wa kutembealea mikono na miguu kwa umbali mrefu.
Pia kama inavyodhaniwa kwa kawaida Mtu anaweza tumia mikono kwa kulia chakula na kufanya shughuli nyingine,
lakini kwa mwanamke huyu imekuwa ni tofauti kabisa, Mwanamke huyu ana uwezo wa kutumia miguu yake katika shughuli zake binafsi kama Kula na kadhalika.....
Hatimaye, Leilani pia anashikilia rekodi ya Dunia kutokana na uwezo wake katika kuuzungusha Mwili wake.