test

Jumanne, 1 Novemba 2016

Mali za Kampuni ya Mohamed Trans yakiwemo mabasi kupigwa mnada na TRA


Mali za kampuni ya Mohamed Trans Limited zitapigwa mnada na Mamlaka ya Mapato Tanzania(TRA) baada ya kushindwa kulipa limbikizo lake la kodi analodaiwa.

Kampuni hiyo pamoja na mali nyingine, inamiliki mabasi ya Mohamed Trans yanayofanya safari zake kwenye mikoa mbalimbali.

Mnada huo utafanyika tarehe 4/11/2016.

Mnada huo utaendeshwa na Kampuni ya udalali ijulikanayo kama Sukah Security Company Limited Auction Mart & Court Broker.

Mnada huo utafanyika mkoani Shinyanga katika Yard ya Mohamed Trans.


[​IMG]

Install Application ya JUNGUKUULEO Uweze Pata Habari Kirahisi Zaidi

xxxxxxxxxxxxx