
AJALI: Gari aina ya Prado ikielekea Ifakara jana saa 7 mchana Jana iliigonga Treni eneo la Kiberege watu wawili waliokuwa kwenye Prado walifariki papo hapo.
Kwa mujibu wa shuhuda mmoja anadai kuwa ni uzembe wa dereva wa gari ambapo alikuwa anavuka reli pasipo kutizama kama kuna treni