test

Jumanne, 25 Oktoba 2016

VIDEO:MAJIBU YA MEYA WA KINONDONI KUHUSU DK TULIA NA WAZIRI NDALICHAKO KUSHIRIKI KWENYE UCHAGUZI WA MEYA


October 23 2016 baraza la halmashauri ya manispaa ya Kinondoni, Dar es salaamlilitangaza ushindi wa nafasi ya umeya kwa Benjamin Sitta ambaye alipigiwa kura na baadhi ya wajumbe.
Lakini moja ya headline zilizochukua nafasi kubwa kuanzia kwanye mitandao ya kijamii hadi magazetini ni uhalali wa uchaguzi huo kuwa haukuwa wa haki baada ya kuonekana ushiriki wa Naibu spika Dk. Tulia pamoja na Waziri Ndalichako.
 imempata kwenye exclusive interview meya huyo ambaye anashare na sisi baadhi ya tuhuma hizo.
‘Kuna taarifa za upotoshaji nimeziona, watu wajue Meya anachaguliwa na baraza la madiwani ambao ni wakata/viti maalum na wateule,tuna madiwani wa kata, viti maalum pamoja na wateule wa Rais wakiwemo Dk. Tulia, Waziri Ndalichako n.k ambao makazi yao ni Kinondoni‘ –Benjamin Sitta
‘Hapa kwenye wateule wa Rais ndio kumekuwa na upotoshaji, ikumbukwe kwamba hawa wote wanaishi Kinondoni na wote ni wajumbe halali‘ –Benjamin Sitta

Install Application ya JUNGUKUULEO Uweze Pata Habari Kirahisi Zaidi

xxxxxxxxxxxxx