test

Jumamosi, 15 Oktoba 2016

Tukio kamili la Polisi na Mume wa mtu Waliyemkamata kwenye Dangulo Dar


Ni aibu iliyoje! Mwanaume mmoja ambaye anadaiwa kuwa ni mume wa mtu, amekutwa ndani ya danguro moja lililopo Sinza ya Mapambano jijini Dar ikiwa ni mazingira ya kutatanisha.

Ishu hiyo ilijiri usiku wa manane wa Ijumaa kuelekea Jumamosi ya wiki iliyopita. Awali, Oparesheni Fichua Maovu (OFM) ya Global Publishers ilipokea taarifa kutoka kwa vyanzo vyake kuwa ndani ya danguro hilo, ameingia mwanaume huyo aliyeonekana kuwa na heshima zake na kwa vile inaeleweka vitu vinavyoendelea, vyanzo vilikuwa na wasiwasi naye!Bila kupoteza muda, kikosi kazi
cha OFM kilifuatilia eneo hilo na kufanikiwa kuingia ndani ya danguro hilo ambako walimkuta jamaa huyo akiwa anazungumza na wasichana watatu ingawa haikueleweka mara moja walikuwa wakizungumzia nini.
Mmoja wa changudoa hao akikurupushwa kutoka kwenye danguro hilo.
Baada ya kuwaona makamanda wa OFM, waliacha mazungumzo yao na kuwatumbulia, lakini walipoanza kupigwa picha, ukaibuka mzozo mpya baina ya watu hao wakisaidiwa na walinzi wanaolinda danguro hilo, dhidi ya waandishi.

Install Application ya JUNGUKUULEO Uweze Pata Habari Kirahisi Zaidi

xxxxxxxxxxxxx