test

Jumatatu, 17 Oktoba 2016

PICHA: Azam FC vs Yanga hakuna mbabe October 16 2016


Ligi Kuu soka Tanzania bara imeendelea leo Jumapili ya October 16 2016 katika uwanja wa Uhuru Dar es Salaam, mabingwa watetezi wa Ligi hiyo Dar es Salaam Young Africans walikuwa wageni wa Azam FC katika mchezo huo wa nane kwa Yanga wa tisa kwa Azam FC.

Mchezo huo wa Yanga na Azam ulianza kwa wenyeji Azam FC kuingia uwanjani na kumbukumbu ya kufungwa  goli 1-0 mchezo uliopita dhidi ya Stand United, wakatiYanga walikuwa na kumbukumbu ya ushindi wa goli 3-1 dhidi ya Mtibwa Sugar katika uwanja wa Uhuru.
dsc_0333
Rekodi za ushindi zilizopita za Yanga hazikuifanya Yanga ipate matokeo na Azamkukubali kufungwa mchezo uliopita, haikufanya wawe dhaifu mbele ya Azam FC na kufanya mchezo umalizike kwa suluhu 0-0, matokeo hayo yanaifanya Azam FC iendelee kuzurura nafasi ya 7.
ada

Install Application ya JUNGUKUULEO Uweze Pata Habari Kirahisi Zaidi

xxxxxxxxxxxxx