test

Jumanne, 25 Oktoba 2016

Orodha ya wachezaji 30 wanaowania Tuzo ya Mchezaji Bora wa Dunia 2016 (Ballon d’Or)


Shirikisho la Soka Duniani (FIFA) limetangaza majina ya wachezaji 30 ambao wanataraji kuwania tuzo ya Mchezaji Bora wa Dunia kwa mwaka 2016 maarufu kama Ballon d’Or.

Majina ya wachezaji ambao wanawania tuzo hiyo kwa mwaka huu imeongezeka kutoka 23 hadi 30 na Disemba, 13 yatatangazwa majina ya wachezaji watatu ambao wataingia katika kinyang’anyiro kwa kupigiwa kura na mshindi kupatikana.
Wachezaji 30 ambao wametajwa kuwania Ballon d’Or 2016 ni, Sergio Aguero (Manchester City), Pierre-Emerick Aubameyang (Borussia Dortmund), Gareth Bale (Real Madrid), Gianluigi Buffon (Juventus), Cristiano Ronaldo (Real Madrid), Kevin De Bruyne (Manchester City), Paulo Dybala (Juventus), Diego Godin (Atletico Madrid), Antoine Griezmann (Atletico Madrid), Gonzalo Higuain (Juventus), Zlatan Ibrahimovic (Manchester United), Andres Iniesta (Barcelona), Koke (Atletico Madrid), Toni Kroos (Real Madrid), Robert Lewandowski (Bayern Munich).

Install Application ya JUNGUKUULEO Uweze Pata Habari Kirahisi Zaidi

xxxxxxxxxxxxx