test

Jumamosi, 8 Oktoba 2016

Bodi ya Mikopo(HESLB) yasitisha mikopo kwa walimu-wanafunzi waliomshambulia na kumuumiza mwanafunzi




October 8. Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB) imesitisha mikopo ya elimu ya juu iliyokuwa ikitolewa kwa walimu-wanafunzi wanne waliosimamishwa masomo kwa kuhusika katika tukio la kumshambulia na kumuumiza mwanafunzi wa Shule ya Sekondari ya Kutwa ya Mbeya.

Walimu hao walikuwa katika mafunzo ya vitendo.
 

Install Application ya JUNGUKUULEO Uweze Pata Habari Kirahisi Zaidi

xxxxxxxxxxxxx