Umethubutu Kupanda Dala Dala La Gongo La Mboto Kwa Vile Maji Yamekufika Shingoni ... Swali Kwako ... Je, Tanzania Nzima Umeona Shida Ya Usafiri Iko Gongo La Mboto Tu Pekee ... Je, Utaanza Lini Kuwatembelea Wavuta Bangi Angalau Kila Mkoa Ili Uweze Kuzijua Changamoto Zinazowakabili ... Je, Uko Tiyari Kujianika Juani Kuanzia Asubuhi Hadi Jioni Ili Uweze Kuzijua Adha Wanazopata Omba Omba ... Je, Uko Tiyari Kwenda Kukaa Jela Angalau Siku Moja Tu Ili Uweze Kuzijua Vizuri Changamoto Zinazowakabili Wafungwa ... Je, Uko Tiyari Kutembea Umbali Wa Km 30 Kwa Miguu Ili Kuwaonesha Wakazi Wa Vijijini Unazitambua Kero Zinazowakabili Kwenye Suala La Usafiri ... Je, Uko Tiyari Kubeba Ndoo Ya Maji Kichwani Ile Ya Lita 20 Kwa Umbali Wa Km 2 Ili Ujue Vizuri Shida Wanayopata Akina Mama Vijijini Wanapokwenda Kuteka Maji Kisimani ... Mimi Maswali Yangu Ndo Hayo Kwa Fisadi Lowasa Kama Na Wewe Una Maswali Muulize Hapa Hapa Wafuasi Wa Ukawa Wajibu Maswali Kwa Hoja Na Siyo Usani Kama Wa Mgombea Wao ... Ccm Oyeee ... Magufuli Oyeee

0 comments:
Chapisha Maoni